Home Michezo PUKKI APIGA HAT TRICK,NORWICH CITY IKIIZAMISHA 3-1 NEWCASTLE UNITED

PUKKI APIGA HAT TRICK,NORWICH CITY IKIIZAMISHA 3-1 NEWCASTLE UNITED

0

Teemu Pukki akishangilia baada ya kupiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 32, 63 na 75 katika ushindi wa Norwich City wa 3-1 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road. Bao la Newcastle limefungwa na  Jonjo Shelvey dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI SOMA  HAPA