Home Michezo LIVERPOOL YANG’ARA UGENINI,YAICHAPA 2-1 SOUTHAMPTON

LIVERPOOL YANG’ARA UGENINI,YAICHAPA 2-1 SOUTHAMPTON

0

Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St Mary’s. Bao la pili la Liverpool limefungwa na Roberto Firmino dakika ya 71 kabla ya Danny Ings kuifungia Southampton bao la kufutia machozi dakika ya 83 PICHA ZAIDI SOMA HAPA