Pierre-Emerick Aubameyang akiwanyooshea kidole mashabiki kufurahi nao baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 64 ikiilaza Burnley 2-1 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 13, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 43 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LACAZETTE,AUBAMEYANG WAING’ARISHA ARSENAL YAICHAPA 2-1 BURNLEY
By Alex Sonna
August 17, 2019 | 5:34 pm

Related Stories
View all
Michezo
15 hours ago
NAIBU WAZIRI QWARAY ANENA NA WAUGUZI DUNIANI
NAIBU Waziri ofisi ya Rais,menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora ,Regina Ndege Qwaray akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta…
Michezo
17 hours ago
TRA UNITED YALAZIMISHWA SARE NA JKT TANZANIA
TRA United imepata sare ya bao 1-1 kwenye uwanja wake wa nyumbani dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi uliochezwa leo. TRA United…
