Chapa ya kinywaji cha Konyagi ambacho kinatengenezwa na kampuni ya TDL chini ya kampuni ya TBL Group, ilionekana kuwavutia washiriki wengi ikiwemo bidhaa za mvinyo na kuashiria kuwa kutokana na ubora na umaarufu wake kitaendelea kuteka masoko ya nje hususani katika nchi za SADC.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ),Mh. Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza Meneja wa Mauzo ya Nje wa TDL, Maleke Hans Mringo, wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya viwanda ya SADC.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakiwa katika banda lao la maonyesho
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa na cheti cha udhamini ambacho Kampuni ilitunukiwaBaadhi ya wafanyakazi wakiwa na cheti cha udhamini ambacho Kampuni ilitunukiwa
Meneja mawasiliano Mwandamizi wa TBL,Amanda Walter akipokea cheti cha udhamini wa wiki ya maonyesho Viwanda kwa nimba ya Kampuni kutoka kwa Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai.