Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo mabao mawili dakika za 18 kwa penalti na 67 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Mabao mengine ya United inayofundishwa na kocha Ole Gunnar Solskjaer yalifungwa na Anthony Martial dakika ya 65 na Daniel James dakika ya 81 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
RASHFORD AFUNGA MAWILI MAN UNITED YAICHAPA 4-0 CHELSEA
By Alex Sonna
August 12, 2019 | 5:25 am

Related Stories
View all
Michezo
1 hour ago
HISPANIA YAITOA UBELGIJI, YATINGA NUSU FAINALI YA KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Hispania imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Ubelgiji mabao 2-1 katika mchezo…
Michezo
19 hours ago
TAMASHA LA CLEMENT MZIZE WASHIKE MKONO MSIMU WA 1 KUFANYIKA UWANJA WA SAMORA JULAI 12 MWAKA HUU – MAPATO KUSAIDIA WENYE MAHITAJI IRINGA
NA DENIS MLOWE, IRINGA MCHEZAJI wa Yanga SC na Timu ya Taifa ya Tanzania, Clement Mzize, ametangaza rasmi kufanyika kwa tamasha la hisani la…
