Home Michezo AUBAMEYANG AIPAISHA ARSENAL YAICHAPA 1-0 NEWCASTLE UGENINI

AUBAMEYANG AIPAISHA ARSENAL YAICHAPA 1-0 NEWCASTLE UGENINI

0

Pierre-Emerick Aubameyang akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 58 ikiilaza 1-0 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James’ Park PICHA ZAIDI SOMA  HAPA