Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo yaJamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Idda Kombe (kulia) akitoa huduma kwa mdau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali aliyefika kukamilisha usajili wa shirika lake wakati wa zoezi la usajili wa NGOs zilizokuwa nje ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali linaloendelea katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa jijini Mwanza.
Katibu Mkuu wa Wizaraya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Dkt. John Jingu (kushoto) akizungumza na wadau wa NGOs waliofika kupata huduma za pamoja za usajili wa mashirika yao wakati wa zoezi la usajili wa NGOs zilizokuwa nje ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali linaloendelea katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa jijini Mwanza.
Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Happy Msimbe akitoa huduma kwa mdau wa NGOs wakati wa zoezi la usajili wa NGOs zilizokuwa nje ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali linaloendelea katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa jijini Mwanza.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW