Home Mchanganyiko DK.AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNESCO

DK.AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNESCO

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (katikati) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha (kushoto) Mathias F.H.Luhanya. [Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (kushoto) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha .[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (kushoto) baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu.]