Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWEBLOG NA IKULU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai Kadinali Policarp Pengo, Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi Isack Kamwelwe, Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa jengo jipya la abiria Terminal 3 katika kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere leo Alhamis Agosti 1, 2019 jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai Kadinali Policarp Pengo, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Isack Kamwelwe pamoja na viongozi wengine wakipiga makofi mara baada ya kukata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa jengo jipya la abiria Terminal 3 leo Agosti 1, 2019 jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza pamoja na wanamuziki wa bendi ya TOT wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la abiria.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga Push Up na wasanii wa Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais Dkt. John Magufuli akiangalia picha alizowapiga wapiga picha ndani ya ndege ya ATCL Boeing 878-8 Dream Liner hawapo pichani wakati akitembelea maeneo mbalimbali mara baada ya kuzindua jengo jipya la abiria Terminal 3 katika kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere leo Agosti 1, 2019 jijini Dar es Salaam kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanania Mh. Kassim Majaliwa akifurahia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mwanamuziki wa bendi ya TOT Khadija Omar Kopa wakati akitumbuiza katika uzinduzi wa jengo jipya la abiria Terminal 3.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akimpiga picha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na wapiga picha hayupo pichani ndani ya ndege ya ATCL Boeing 878-8 Dream Liner mara baada ya kuzindua jengo jipya la abiria Terminal 3 kwenye kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2019.
Wapiga picha wakifurahia kupigwa picha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ndani ya ndege ya Dreamliner ya AITCL iliyowasili kutoka Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019Wapiga picha wakifurahia kupigwa picha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ndani ya ndege ya Dreamliner ya AITCL iliyowasili kutoka Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyererejijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika uzinduzi huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika uzinduzi huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika uzinduzi huo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akisikiliza Hotuba ya Rais wa Jahuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akihutubia wananchi kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Kassim Majaliwa kushoto akiwa pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.
Picha mbalimbali zikionyesha Mawaziri kutoka wizara mbalimbali, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa, Makatibu wakuu wa wizara pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Viongozi mbalimbali wa dini pia wamehudhuria katika hafla hiyo.
Wananchi mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Waimbaji wa Bendi ya TOT wakitumbuiza katika uzinduzi huo.
Kwaya kutoka Chuo cha Utumishi Mtwara wakiimba katika hafla hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mh. Isack Kamwelwe akitoa maelezo kabla ya mradi huo kuzinduliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Viongozi mbalimbali wakielekea kukaa kwenye viti vyao mara baada ya kuwatunza wanamuziki wa bendi ya TOT ilipokuwa ikitumbuiza.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mh. Isack Kamwelwe akiserebuka pamoja na wanamuziki wa bendi ya TOT wakati walipokuwa wakitumbuiza katika uzinduzi huo.
Waziri Mh.Mkuu Kassim Majaliwa akiwatunza wanamuziki wa bendi ya TOT wakati alipokuwa wakitumbuiza katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakiwa wameketi Meza kuu pamoja na viongozi mbaimbali waliohudhuria katika hafla hiyo ya uzinduzi wa jengo jipya la Abiria kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungua mkono wananchi wakati alipowasili kwa ajili ya kuzindua jengo hilo.
Muimbaji Emmanuel Mbasha akitumbuiza katika hafla hiyo.
Mmoja wa wapiga picha wa vitu vya luninga vilivyorusha matukio ya uzinduzi huo moja kwa moja akiwajibika kuchukua matukio.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha mbalimbali za pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo wakati alipokuwa akikagua eneo la kupokelea mizigo katika jengo jipya la uwanja wa ndege wa Julius Nyerere mara baada ya uzinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzia jambo wakati alipokagua eneo la ukaguzi wa wageni katika idara ya Uhamiaji katika uwanja huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua eneo la abiria kupumzikia wakati wakisubiri kusafiri sehemu mbalimbali duniani katika uwanja huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa wageni ambaye alijitambulisha kama raia wa Argentina alipokuwa katika mgahawa akisubiri kusafiri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wakati akiondoka uwanjani hapo mara baada ya kuzindua jengo hilo.
Muonekano wa jengo jipya la abiria Terminal 3 katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.