Naibu Waziri Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile akiongea na madaktari kutoka Taasisi ya Mifupa(MOI) wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo kwenye maonesho ya biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam
Dkt.Ndugulile akionesha aina za mbu waenezao Malaria,Dengue pamoja Mabusha kwenye banda la Chuo Kikuu Shirikishi cha Sayansi(MUHAS) ambapo aliwasisitiza kufanya tafiti zenye matokeo kwenye jamii
Dkt.Ndugulile akiangalia aina ya mazalia ya mbu kwenye banda la MUHAS
Naibu Waziri Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile akiongea na madaktari kutoka Taasisi ya Mifupa(MOI) wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo kwenye maonesho ya biashara yanayoendelea jijini Dar es SalaamDkt.Ndugulile akionesha aina za mbu waenezao Malaria,Dengue pamoja Mabusha kwenye banda la Chuo Kikuu Shirikishi cha Sayansi(MUHAS) ambapo aliwasisitiza kufanya tafiti zenye matokeo kwenye jamiiDkt.Ndugulile akiangalia aina ya mazalia ya mbu kwenye banda la MUHAS