Mhandisi mshauri Thomas Kidane toka kampuni ya SMEC ya Australia akifafanua jambo kwa wahandisi Peter Sikalumba (kushoto), Joyce Mbunju, na Rubara Marandu (kulia) toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), walipokagua ujenzi wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake unaendelea kwa kiwango cha lami.Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka – Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera – Geita na Shinyanga.Muonekano wa barabara ya Bwanga- Biharamulo (km 68), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika, barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Kagera na Geita.Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka- Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera – Geita na Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Nicodemus Tambo akifungua mkutano huo.jijini Arusha.Rais wa chama hicho,Henry Ngogo, akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano huo.Mjumbe wa…
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, amepongeza juhudi za Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, katika kusimamia utekelezaji…