Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberates Sabas,
akikagua mradi wa ujenzi wa Nyumba za Askari Polisi uliofadhiliwa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli,
katika eneo la Ikwiriri, Mkoa wa Kipolisi Rufiji na kulidhishwa na maendeleo
mazuri ya ujenzi huo. ( PICHA NA JESHI LA POLISI)
Kamishna wa Opereshni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberates Sabas,
akizungumza na wanakijiji cha Rungungu baada ya kuwatembelea na kutaka
kujua maendelea yao na Usalama wa Kijiji hicho, hatua hiyo ya kuwatembelea
wanakijiji hao kamishna CP Sabas huifanya mara kwa mara kwasababu ya
kijiji hicho ndicho kilikuwa makazi makuu ya wahalifu pamoja na eneo
walilokuwa wakifanyia mafunzo yao kabla ya kutimiza azima zao katika kipindi
cha miaka ya 2016 na 2017. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Kamishna wa Opereshni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberates Sabas,
akiwa katika picha ya pamoja na askari wa kikosi maalum cha kupambana na
wahalifu katika pori la Rungungu liliopo Kijiji cha Rungungu katika Mkoa wa
Kipolisi Rufiji baada ya kumaliza kufanya Operesheni maeneo hayo. (PICHA
NA JESHI LA POLISI)