Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Msikiti wa Anwari uliopo Msasani jijini Dar es salaam, Sheikh Alhaji Suleiman Mohammed wakati alipowasili msikitini hapo kuswali Swala ya Eid El Fitr, Juni 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwari, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Bw. Mohammed Iqbal Noray baada ya kushiriki Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kushiriki katika Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019. Kulia ni Mwenyuekiti wa Msikiti huo, Sheikh Alhaji, Suleiman Mohammed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watoto baada ya kushiriki Ibada ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Juni 5, 2019., (Picha na ofis ya Waziri Mkuu)