Home Michezo Theo Hernandez atembelea Hifadhi ya Serengeti

Theo Hernandez atembelea Hifadhi ya Serengeti

0

Mchezaji anaekiipiga katika klabu ya Real Sociedad kwa mkopo akitokea Real Madrid Theo Hernandez na mpenzi wake wametembelea hifadhi ya mbuga za Wanyama ya Serengeti nchini Tanzania.

Wapendanao hao wamekuja kutalii Serengeti kwenye kipindi hiki cha mapumziko.