Home Michezo Bigrimana asaini Namungo Fc

Bigrimana asaini Namungo Fc

0

Hekaheka za usajili Tanzania Bara zikiwa zikipamba moto hasa kutokana na kila timu ikihitaji kujihimarisha kikosi chake kwaajili ya msimu ujao, klabu ya Namungo Fc ambayo imepanda ligi kuu Imaamua kuimarisha kikosi chao baada ya kupata saini ya Mshambuliaji wa Burundi, Blaise Bigirimana.

 Bigirimana ametokea Alliance ambayo ilimsajili kutoka Stand United wakati wa dirisha dogo lililopita na kuisaidia klabu hiyo kusalia ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao