Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya shilingi trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Idara na Taasisi zilizochini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya shilingi trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma.
aadhi ya Wakuu wa Idara na Taasisi zilizochini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya shilingi trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kushoto). Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu (katikati) na Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. John Rubuga, wakifuatilia mawasilisho ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango yaliyowasilishwa Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb).
Baadhi ya Wakuu wa Idara na Taasisi zilizochini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya shilingi trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, baada ya kuwasilishwa kwa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ambapo imeliomba Bunge kuidhinisha kiasi cha shilingi trilioni 11.94 kwa ajili yamatumizi ya kawaida na maendeleo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, wakifuatilia kwa makini michango ya Wabunge wakijadili Hotuba ya Bajeti ya Wizara ambapo Wizara imeliomba Bunge kuidhinishiwa kiasi cha shilingi trilioni 11.94 kwa ajili yamatumizi ya kawaida na maendeleo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, wakifuatilia kwa makini michango ya Wabunge wakijadili Hotuba ya Bajeti ya Wizara ambapo Wizara imeliomba Bunge kuidhinishiwa kiasi cha shilingi trilioni 11.94 kwa ajili yamatumizi ya kawaida na maendeleo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano-Wizara ya Fedha na Mipango