Home Biashara ASAS Dairies Ltd ya Mkoani Iringa ya Kwanza kwa uzalishaji Bora...

ASAS Dairies Ltd ya Mkoani Iringa ya Kwanza kwa uzalishaji Bora wa bidhaa za Maziwa Tanzania

0

Lipita Mtimila  Meneja Masoko Kampuni ya ASAS Dairies Ltd Ya Mkoani Iringa akishangilia ushindi wa kampuni hiyo katika utengenezaji wa bidhaa za maziwa ambapo Imeibuka Kidedea na Kushika nafasi ya Kwanza kwa Uzalishaji Bidhaa Bora za Maziwa Tanzania, kwenya kilele ya maadhimisho ya Wiki ya Maziwa kitaifa Iliyofanyika Mkoani Arusha.

Lipita Mtimila  Meneja Masoko akizungumzia ushindi wa kampuni hiyo katika utengenezaji wa bidhaa za maziwa.