NA
K-VIS BLOG, DODOMA
K-VIS BLOG, DODOMA
ZAIDI ya Shilingi bilioni 880 zimetumika kulipa malimbikizo ya mafao ya wastaafu
takriban elfu kumi (10000), wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma (PSSSF), Meneja Kiongozi, Uhusiano wa Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii kwa watumishi wa Umma, (PSSSF), Bi. Eunice Chiume amewaambia waandishi wa
habari jijini Dodoma leo Mei 29, 2019.

“Dhamira
ya Mfuko ni kuhakikisha kuwa wanachama wake wanalipwa mafao yao kwa wakati na
kwa hakika tutaendelea kutoa huduma bora kwa wastaafu na wanachama wetu.”
Alisema Meneja huyo.

Alisema,
wastaafu wote wanapaswa kuhakikiwa taarifa zao kama ambavyo matangazo yamekuwa
yakielekeza

“Hadi
kufikia Aprili 30, 2019 jumla ya wastaafu waliojitokeza kuhakikiwa ni 113,962, huku
wastaafu wengine 10, 509 wakiwa bado hawajaripoti kwenye ofisi zetu ili
kuhakikiwa taarifa zao,” Alifafanua Bi. Eunice Chiume na kuongeza

“Nitoe
wito kwa wastaafu wote ambao bado hawajahakikiwa kufika kwwenye ofisi zilizo
karibu naye ili ahakikiwe taarifa zake.” Alisema.

Meneja
huyo Kiongozi, Uhusiano alibainisha kuwa had hivi sasa, Mfuko una jumla ya
wastaafu 124,000 na wanachama 763,000 na kuwahakikishia kuwa Watumishi wa PSSSF
wamejipanga kutoa huduma bora kwa wastaafu na wanachama wa Mfuko huo katika
ofisi zote za Mfuko zilizo Tanzania bara na Visiwani.“Niwatoe
hofu wastaafu, zoezi hili la uhakiki ni endelevu na kwamba Wanachama wanaweza
kuwasiliana na Mfuko kupitia namba 0800 110 055, 0800 780 060 na 0800 110 040
(namba hizi ni bure). Pia wanaweza tuma ujumbe mfupi kwa namba 0735 117 773 na
0736 117 773 “PSSSF
inaendelea kuunga mkono ujenzi wa uchumi wa viwanda kwa kuwekeza kwenye viwanda
kikiwemo kiwanda cha kuzalisha viatu cha Karanga kilichoko mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro kinachoendeshwa kwa ubia kati ya Mfuko na Jeshi la Magereza.

Meneja Kiongozi, Uhusiano, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bi. Eunice Chiume akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dodoma leo Mei 29, 2019. Amesema takriban wastaafu 10,000 kote
nchini wamelipwa malimbikizo ya mafao yao.

kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bi. Eunice Chiume (kushoto), akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dodoma leo Mei 29, 2019. Amesema takriban wastaafu
10,000 kote nchini wamelipwa malimbikizo ya mafao yao. Kulia kwake ni Afisa
Uhusianio Mwandamizi wa Mfuko huo, Bw. Abdul Njaidi. (PICHA NA MAELEZO).