Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof Rwekaza Mukandala akizungumza na Waandishi juu ya mada ya leo katika kigoda cha mwalimu ilihusu kuwawezesha watotokupata elimu na kupingana na ajira za mapema wakiwa katika umri wa kwenda shuleni.Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu ch Dar es Salaam, Prof Rwekaza Mukandala , akiwa na Jaji Damiani Lubuva wakifatilia Mjadala wa kujadili elimu kwa watoto wadogo
WASOMI WAJADILI MSTAKABALI WA ELIMU YA WATOTO KATIKA KIGODA CHA MWALIMU
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/05/IMG_7748.jpg)