Viongozi wa klabu maarufu ya Hispania na barani Ulaya ya Sevilla FC, wamefanya semina maalum jijiniDar es Salaam.
Semina hiyo ilikua kwa viongozi wa soka nchini kuhusu uendeshaji wa klabu kwa mfumo wa kibiashara kwa ajili ya kuendesha kifaida na kutengeneza kujitegemea badala ya kuwa tegemezi.
Leo asubuhi, semina hiyo imefanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi wa klabu mbalimbali pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Nahodha wa muda mrefu wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu hiyo, akihitimisha safari ya takribani miaka 15 aliyosema imejaa mafanikio,…