Waziri wa Mifugo na Uvuvi mhe. Luhaga Mpina akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2019/2020.
Naibu Waziri wa Madini mhe. Stanslaus Nyongo akisisitiza kuhusu utarataibu wa Serikali kufuta leseni za maeneo ya uchimbaji madini na utafiti ambayo hayajaendelezwa hapa nchini na kuyatoa kuyagawa kwa wachimbaji wadogo waliopo katika maeneo husika.
Katibu mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi sekta ya (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel akifurahia jambo na Mwanasheria mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi leo Bungeni Jijini Dodoma.
Sehemu ya wageni waliofika Bungeni wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni leo Mei 21, 2019 wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi mhe. Luhaga Mpina akiwa na sehemu ya wadau wa sekta ya mifugo na uvuvi leo Bungeni mara baada ya kuwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2019/2020.
Katibu mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi sekta ya (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiteta jambo na Katibu mkuu wa Wizara hiyo sekta ya Uvuvi Dkt.Rashid Tamatama leo Bungeni Jijini Dodoma.
(Picha zote na Frank Mvungi)