Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na viongozi Mbali mbali wa dini alipowasili kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za azimisho la Kumbukizi ya Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula yaliyofanyika leo katika Kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma. kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dkt. Dickson Chilongani
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mhe. Balozi Job Lusinde wakati wa sherehe za azimisho la Kumbukizi ya Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula yaliyofanyika leo katika Kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula wakati wa sherehe za azimisho la Kumbukizi ya Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula zilizofanyika leo katika Kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma. Wa kwanza kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dkt. Dickson Chilongani
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiongozana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dkt. Dickson Chilongani baada ya kuweka shada ya maua katika kaburi la aliyekuwa Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula tukio lililofanyika leo katika kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiongoza harambee kwa ajili ya ukarabati wa ujenzi wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea katika sherehe za Kumbukizi ya Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula tukio lililofanyika leo katika kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma. Kanisa lililojengwa na Mtemi huyo
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mvumi Makulu wakati wa sherehe za azimisho la kumbukizo ya Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula tukio lililofanyika leo katika kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dkt. Dickson Chilongani akiongoza ibada ya shukrani ya Kumbukumbu ya Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula iliyofanyika leo katika kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma.
Wananchi Mbali mbali wa Kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma wakiwa katika ibada ya shukrani ya Kumbukumbu ya Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula iliyofanyika leo katika kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akikata utepe kuzindua kitabu cha kumbukumbu ya aliyekuwa Mtemi Mkuu wa Ugogo Paramount Chief Daudi Solomon Mazengo Chalula tukio lililofanyika leo katika kijiji cha Mvumi Makulu Mkoani Dodoma wakati wa sherehe za azimisho la kumbukizi ya Mtemi huyo
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)