Ad imageAd image

Latest news

TANESCO KINONDONI KUSINI YATOA TUZO KWA WATUMISHI BORA

Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kusini, Mhandisi Florence  Mwakasege  (wa pili kutoka kushoto)  akikabidhi zawadi ya Luninga pamoja na Friji kwa wafanyakazi  bora wenye Mikataba ya kudumu pamoja na wale wa muda maalum katika hafla katika hafla fupi ya kusherekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika leo Mei 1, 2024 katika Hotel ya Lion Jijini

John Bukuku By John Bukuku

WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU WASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2024 JIJINI DODOMA

Watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu leo tarehe 1 Mei, 2024 wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika kimkoa katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 1 Mei ambapo kwa mwaka huu kitaifa yamefanyika Jijini Arusha na Mgeni Rasmi alikuwa Makamu ya Rais, Mhe. Dkt. Philip

Alex Sonna By Alex Sonna

WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliaji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliaji katika maeneo mbalimbali, iliyofanyika jijini Dodoma. "Ndugu washiriki nimefurahishwa kuona kuwa asilimia 82 ya wanaokwenda kujenga miradi hii ni

John Bukuku By John Bukuku

JUMUIYA YA WAZAZI CCM YAPONGEZWA NA CHUO CHA FURAHIKA

Na Sophia Kingimali. Mkuu wa Chuo cha Furahika David Msuya ameipongeza Jumuiya ya Wazazi CCM nchini kwa jitihada zao za kupeleka watoto kwenye mradi wa elimu bure unaoendeshwa chuoni hapo huku akitoa rai kwa wazazi kuhakikisha wanapeleka watoto wao kupata elimu ya ujuzi ili waweza kujiajili na kuajiliwa. Wito huo ameutoa leo Mei 1,2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari

John Bukuku By John Bukuku

MPANGO AIPONGEZA TUCTA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MEIMOSI.

Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Makamu wa Rais Philip Mpango amepongeza TUCTA kwa maandalizi mazuri ya meimosi huku akiwataka wafanyakazi hao kusaidiana katika maboresho mbalimbali ya maslahi ya wafanyakazi kwani hatua hiyo utasaidia kuboresha maslahi ya wafanyakazi. "Timu ya serikali iliyopo mkoani Arusha imesikiliza kwa makini risala ya wafanyakazi na tunaahidi kulifanyia kazi "amesema Mpango. Amefafanua kuwa ,kodi ya kima cha

John Bukuku By John Bukuku

SMZ YATENGA BILIONI 34 POSHO YA NAULI KWA WAFANYAKAZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya shilingi 50,000 ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda kazini na kurudi nyumbani. Amesema shilingi bilioni 34 zimetengwa na Serikali kwa ajili ya posho ya usafiri kwa watumishi wote

John Bukuku By John Bukuku

MWENGE WA UHURU KUPITIA MIRADI 28 YENYE THAMANI YA TRILIONI 8.5 WILAYANI KIBAHA

Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mei 1 MWENGE wa Uhuru utapitia miradi 28 yenye thamani ya trilioni 8.5 wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ambapo umekagua mradi mkubwa wa Kongani ya Viwanda ya SINOTAN, Kata ya Kwala ambao hadi kukamilika utagharimu trilioni 8.4. Aidha umeweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa barabara kutoka barabara ya Morogoro kwenda ofisi za Halmashauri, yenye urefu wa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za

John Bukuku By John Bukuku