Ad imageAd image

Latest news

MAWASILIANO YA BARABARA DAR  – LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo na viongozi wengine wakikagua urejeshaji wa miundombinu ya barabara ya Lindi –Dar es Salaam eneo la Somanga ambalo limeanza kupitika Mkoani Lindi. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akizungumza na wananchi wa eneo la Mikereng’ende wakati alipokuwa akisimamia

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAIKO YA MUASISI WA UWT ZANZIBAR MAREHEMU ASHA SIMBA MAKWEGA GOZA MAELFU KATIKA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi  mbalimbali katika Sala ya Maiti ya Marehemu Asha Simba Makwega Muasisi wa UWT pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sala hiyo iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI YAONGOZA MAZISHI YA ALIYESHIRIKI TUKIO LA KUCHANGANYA UDONGO

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiwasili nyumbani kwa Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, kushiriki mazishi ya Mareehemu Mrema katika Kijiji cha Midawi, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe o8 Mei, 2024. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NDUGULILE KUWANIA UKURUGENZI MKUU WHO KANDA YA AFRIKA

Na. WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemchagua na kumpendekeza Dkt. Faustine Ndugulile kugombea nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika ambapo ni kwa mara ya kwanza Tanzania inatoa mgombea wa nafasi hiyo. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 8, 2024

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA MAABARA NGAZI YA MSINGI

WAF, Dodoma Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wafadhili wa Global Fund wametoa vifaa vya Tehama kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI ili kusaidia kuongeza upatikanaji wa Huduma bora za maabara na afya kwa ngazi ya msingi. Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi na Matengenezo ya Vifaa Tiba, Dkt. Alex Magesa wakati akimwakilisha Katibu Mkuu wa

John Bukuku By John Bukuku

MCHENGERWA ATAKA HEWA UKAAA KUWA CHANZO KIPYA CHA MAPATO YA HALMASHAURI

OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ambao maeneo yao kuna misitu ya asili kuhakikisha wanaanzisha biashara ya hewa ukaa kama chanzo kipya cha mapato. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo leo alipokuwa akifunga kikao cha siku tatu na Wakurugenzi hao kilichofanyika shule ya

John Bukuku By John Bukuku

WIZARA, TAASISI ZAAGIZWA KUZINGATIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Wizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda mazingira na athari nyingine zinazotokana na nishati isiyo safi. Agizo hilo limetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo (Mei 8, 2024) Jijini Dar es salaam wakati akizindua Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia 2024 -

John Bukuku By John Bukuku

DC-KHERI JAMES AFUNGUA KIKAO KAZI NA MAFUNZO CHA TRAMPA

Mkuu wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James amefungua kikao kazi cha watunza kumbukumbu na nyaraka Tanzania, kilichofanyika kitaifa wilayani Iringa na kuhudhuriwa na wajumbe kutoka mikoa yote nchini. Akizungumza katika kikao hicho Komred Kheri James ameeleza kuwa Serikali inatambua na kuthamini sana mchango wa tasnia ya menejimenti ya kumbukumbu katika kuharakisha na kusaidia kufanya maamuzi na sahihi kwa haki

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

DKT. KIJAJI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA MILIKI BUNIFU DUNIANI

Na Sophia Kingimali. WAZIRI wa Viwanda na biashara Dkt.Ashatu Kijaji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi siku ya maadhimisho ya siku ya miliki bunifu Duniani yanayotarajiwa kufanyika Mei 9,2024 jijini Dar es

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo, aliyetaka kufahamu lini Serikali itawaongezea pesheni wastaafu wanaolipwa shilingi 100,000 kwa mwezi

John Bukuku By John Bukuku