Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

RAIS DKT. SAMIA: MUENDELEE KUFUATILIA TAARIFA ZA MAMLAKA YA JALI YA HEWA KUEPUKA MADHARA WAKATI WA MVUA

Na Sophia Kingimali. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wananchi kuhakikisha wanafuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea katika kipindi hiki cha mvua huku serikali ikiwa enaendelea kuhakikisha inarejesha miundombinu iliyoharibika. Wito huo ameutoa leo wakati wa sherehe za kilele cha  maadhimisho ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WA NCHI JIRANI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.

John Bukuku By John Bukuku

TANROADS YAWEKA KAMBI BARABARA YA MOROGORO- IRINGA KUZIBA MASHIMO MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA

Na Aisha Malima-Morogoro Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro – Iringa ikiwemo katika eneo la Kobogwa lilipo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo kumetokea shimo kubwa baada ya maji kupita pembezoni mwa Kalvati. Akizungumza na Kipindi cha TANROADS Mkoa kwa Mkoa leo tarehe

Alex Sonna By Alex Sonna

TUZO ZA REGGAE NCHINI,WASHINDI KWENDA UJERUMANI.

............................. NA MUSSA KHALID  Wanamuziki wa Reggae nchini na Maeneo ya Ukanda ndani ya Bara Afrika  wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Tuzo za Muziki wa Reggae  za KMCC Reggae Music Awards (KRMA III) zinazotarajiwa kufanyika Julai mosi mwaka huu. Akizungumza wakati wa utambulizo wa ujio wa Tuzo hizo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwakilishi kutoka Baraza

John Bukuku By John Bukuku

VIJANA 58 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI VIHENGE KUPITIA MRADI WA TANIPAC KUZUIA SUMUKUVU

Kaimu Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga bw. Joseph Taban (kulia) akikagua Vihenge vilivyotengenezwa na Vijana walioshiriki mafunzo ya kutengeneza Vihenge yaliyotolewa na SIDO Mkoa wa Shinyanga kupitia Mradi wa Kuzuia Sumukuvu wa TANIPAC ulio chini ya Wizara ya Kilimo   Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog   Jumla ya Vijana 58 kutoka mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita na Simiyu

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA AWATAKA WATANZANIA KUENDELEZA MUUNGANO KWA FALSAFA YA KUSTAHIMILIANA NA MARIDHIANO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024. Gwaride la Heshima la Miaka 60 ya Muungano lililoandaliwa na Jeshi la

John Bukuku By John Bukuku

IDARA YA AFYA WATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MCHENGERWA

Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amefika wilayani Rufiji na Kibiti kukagua na kufanya tathmini ya uharibifu wa miundombinu ya Afya iliyoharibika kutokana na Mafuriko. Akizungukq baada ya kukagua Kituo cha Afya Mohoro, Kata ya Mohoro wilayani amesema wamefika kituoni hapo kutekeleza maagizo ya Waziri Mchengerwa, ambaye aliwataka kufanya

John Bukuku By John Bukuku

DCEA KANDA YA KASKAZINI YATEKETEZA KIJIWE MAARUFU CHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA JUMBA LA DHAHABU”  KATA YA UNGA LIMITED JIJINI ARUSHA

Na Prisca Libaga Arusha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na Usalama, Mmiliki wa eneo hilo na Uongozi wa Serikali ya Mtaa wameteketeza Kijiwe Maarufu cha Matumizi ya Dawa za Kulevya kinachojulikana kama _"JUMBA LA DHAHABU"_ kilichopo Mtaa wa Tindiga, Kata ya Unga Limited jijini Arusha.  Jumba

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara