Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

TAKUKURU INAWAHOJI WATU 11 WALIOFICHA VYAKULA VYA MSAADA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji April 25 TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya kuficha chakula cha waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji na Kibiti kwa utaratibu usio rasmi. Mkuu wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusikitika

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA YAIELEZA UN HAKUNA WANANCHI WALIOHAMISHWA KWA NGUVU NGORONGORO NA LOLIONDO

  Kikao cha 23 Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Watu wa Asili (UNPFII) kinaendelea jijini New York nchini Marekani. Kikao hicho kinahudhuriwa na ujumbe wa Tanzania unaoongozwa na Prof. Hamisi M. Malebo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wajumbe wengine wa Tanzania wanaohudhuria mkutano huo ni pamoja

Alex Sonna By Alex Sonna

WANAUME WANANIKIMBIA KISA SIJUI KUSOMA NA KUANDIKA

Jina langu ni Wini, ni kijana wa miaka 27 kwa sasa, nilizaliwa kwenye kijiji kimoja wilayani Kahama, Shinyanga nchini Tanzania, katika maisha yangu sikupata nafasi ya kwenda shule kusoma hivyo hadi nakuwa mtu mzima nilikuwa sijui kusoma wala kuandika. Nikiwa na miaka 15 nilipata kazi ya kuwa housegirl mkoni Mwanza, nakumbuka ndipo nilitoka kijijini na kwenda mjini kwa mara ya

John Bukuku By John Bukuku

DKT BITEKO MGENI RASMI TAMASHA LA MKESHA WA MUUNGANO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko Leo 25 Aprili, 2024 ameshiriki kwenye Tamasha la mkesha wa miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika sambamba na maadhimisho ya miaka 10 ya Efm Radio. Hafla hiyo inayofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam, imevutia mamia ya washiriki kutoka pande mbalimbali za Jiji. Tamasha pia limehudhuriwa

John Bukuku By John Bukuku

DC LULANDALA AWAONGOZA WANA SIMANJIRO MKESHA WA MUUNGANO 

Na Mwandishi wetu, Simanjiro  MKUU wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Fakii Raphael Lulandala amewaongoza mamia ya wakazi wa eneo hilo kwenye mkesha wa maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Lulandala akizungumza kwenye mkesha huo ambao umetumika pia kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza mbashara na watanzania kwa njia ya runinga amesema wana Simanjiro wameitikia vyema

John Bukuku By John Bukuku

WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWEKEZA KABLA YA KUSTAAFU

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati akifunga mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Natu El Maamry Mwamba, uliofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dar Es Salaam. Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Fedha, ambaye pia

John Bukuku By John Bukuku

BARAZA LA MAWAZIRI EAC LAKUTANA JIJINI ARUSHA

Mkutano Maalum wa 53 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki umefanyika leo tarehe 25 Aprili 2024 Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha. Mkutano huo, pamoja na masuala mengine umejadili na kupitisha Makadrio ya Bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano huo umeongozwa na Naibu Waziri wa Mambo

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara