Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

IDARA YA AFYA WATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MCHENGERWA

Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amefika wilayani Rufiji na Kibiti kukagua na kufanya tathmini ya uharibifu wa miundombinu ya Afya iliyoharibika kutokana na Mafuriko. Akizungukq baada ya kukagua Kituo cha Afya Mohoro, Kata ya Mohoro wilayani amesema wamefika kituoni hapo kutekeleza maagizo ya Waziri Mchengerwa, ambaye aliwataka kufanya

John Bukuku By John Bukuku

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAJA NA MKAKATI KUONGEZA UFANISI

  Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akizungumza wakati wa Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Kati ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika leo tarehe 24 April 2024 Zanzibar katika ukumbi wa Spring Hall, uliopo Madinat Al Bahr Hotel. Mjumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa  ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara,

Alex Sonna By Alex Sonna

DCEA KANDA YA KASKAZINI YATEKETEZA KIJIWE MAARUFU CHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA JUMBA LA DHAHABU”  KATA YA UNGA LIMITED JIJINI ARUSHA

Na Prisca Libaga Arusha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na Usalama, Mmiliki wa eneo hilo na Uongozi wa Serikali ya Mtaa wameteketeza Kijiwe Maarufu cha Matumizi ya Dawa za Kulevya kinachojulikana kama _"JUMBA LA DHAHABU"_ kilichopo Mtaa wa Tindiga, Kata ya Unga Limited jijini Arusha.  Jumba

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA AWAONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO UWANJA WA UHURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu

John Bukuku By John Bukuku

POLISI MKOANI RUVUMA WAMTIA MBARONI WIZI WA VIFAA NDANI YA MAGARINI HALFA MINJA MKAZI WA SANAWALI JIJI LA ARUSHA

  Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Kamishina msaidizi Mwandamizi Marco Chilya,akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake jana wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa watu mbalimbali wanaojihusisha na vitendo vya uharifu mkoani humo. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma Kamishina msaidizi Mwandamizi Marco Chilya,akionyesha baadhi ya kompyuta Mpakato(Laptop)zilizokamatwa na Polisi kutoka kwa kinara wa wizi ya vifaa vya

Alex Sonna By Alex Sonna

TAKUKURU INAWAHOJI WATU 11 WALIOFICHA VYAKULA VYA MSAADA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji April 25 TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya kuficha chakula cha waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji na Kibiti kwa utaratibu usio rasmi. Mkuu wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusikitika

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA YAIELEZA UN HAKUNA WANANCHI WALIOHAMISHWA KWA NGUVU NGORONGORO NA LOLIONDO

  Kikao cha 23 Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Watu wa Asili (UNPFII) kinaendelea jijini New York nchini Marekani. Kikao hicho kinahudhuriwa na ujumbe wa Tanzania unaoongozwa na Prof. Hamisi M. Malebo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wajumbe wengine wa Tanzania wanaohudhuria mkutano huo ni pamoja

Alex Sonna By Alex Sonna

WANAUME WANANIKIMBIA KISA SIJUI KUSOMA NA KUANDIKA

Jina langu ni Wini, ni kijana wa miaka 27 kwa sasa, nilizaliwa kwenye kijiji kimoja wilayani Kahama, Shinyanga nchini Tanzania, katika maisha yangu sikupata nafasi ya kwenda shule kusoma hivyo hadi nakuwa mtu mzima nilikuwa sijui kusoma wala kuandika. Nikiwa na miaka 15 nilipata kazi ya kuwa housegirl mkoni Mwanza, nakumbuka ndipo nilitoka kijijini na kwenda mjini kwa mara ya

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara