Teknolojia
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
VETA YATAMBULISHA TEKNOLOJIA YA ULINDAJI WA MASHAMBA
******************* Na Penina Malundo MAMLAKA ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA), imewataka wakulima wa zao la mpunga kuacha kulima kizamani na badala yale kutumia…
MHANDISI WA UDSM ATENGENEZA INCUBATOR INAYOTUMIA BIOGAS
************************** NA MWANDISHI WETU Mhandisi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndaki ya ICT-Kijitonyama Antony Elias ametengeneza mashine ya kutotoreshea vifaranga vya kuku…
WAZIRI NDALICHAKO AFURAHISHWA NA UBUNIFU UNAOFANYWA NA UDSM KUTATUA CHANGAMOTO KATIKA JAMII
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akitazama moja ya ubunifu uliofanya na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada…
COSTECH IMEKUWA NA UBUNIFU UNAOLENGA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIJAMII
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH ) Dkt. Amos…
COSTECH IMEKUWA CHACHU YA UKUAJI WA TEKNOLOJIA NCHINI
Mbunifu kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Bw.Yoel Max (kulia) akiwa na mwenzake akionesha moja kadi ambayo inamtambulisha mjasiliamali ambaye atajiunga…
Wananchi wapongeza TCRA kwa Watoa huduma za simu za mkononi kurudisha huduma ya bando ya awali
Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT) Hamisi Mchuchuri akizungumza faida ya kushuka kwa bando kurejea Awali kuwa kunapunguza gharama za maisha kwa wanafunzi wa…
KUPATIKANA KWA UMEME KUMEONDOA VIBAKA VIJIJINI
Bi. Adelina Lyakurwa akijiu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wananchi katika kijiji cha Ikola Fundi kompyuta Rashid Othman akitengeneza kompyuta katika kijiji cha Isengule…
CHUO CHA UALIMU WA UFUNDI STADI VETA-MOROGORO WAANDAA TEKNOLOJIA RAHISI YA KUFUNDISHA FANI YA UMEME VIWANDANI
********************************** NA EMMANUEL MBATILO Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi VETA-Morogoro kimeweza kuandaa mfumo ambao utatumika kwaajili ya kufundishia kwa vitendo fani ya umeme…
VETA MKOA WA SINGIDA WAAMUA KUTENGENEZA MFUMO WA UMEME MAJUMBANI AMBAO HUJIWASHA WENYEWE PINDI KUKIWA GIZA
*************************** NA EMMANUEL MBATILO Chuo cha Ufundi VETA Mkoa wa Singida kupitia kwa wanafunzi wake wametengeneza mfumo wa Umeme majumbani ambao utaweza kusaidia indapo…