Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MHE.SAMIA SULUHU AZINDUA AWAMU YA TATU YA MKUTANO WA KAMPENI KONGWA MKOANI DODOMA
Chama cha Mapinduzi CCM kikiendelea kuchanja mbuga Angani na Ardhini, Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi…
RAIS DK. MAGUFULI KUANZA KUWATIMULIA KIMBUNGA WAPINZANI KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
Katibu wa Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete…
WAZIRI MKUU KUANZA KAMPEINI MKOANI KAGERA SEPTEMBA 28, WANANCHI WAOMBWA KUJITOKEZA KUMSIKILIZA.
Ndg. Hamimu Mahamudu katibu wa siasa itikadi na uenezi Chama Cha Mapinduzi Mkoani Kagera akiongea na waandishi wa habari mjini Bukoba. ******************************* Na Allawi…
MKUTANO WA CCM GANDO 2 VISIWANI ZANZIBAR
MGOMBEA Ubunge jimbo la Gando Salum Mussa omar akiwaombea kura wagombea wenzake katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Mpira wa…
MKUTANO WA UZINDUZI AWAMU YA TATU YA KAMPENI CCM KONGWA
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri…
MANYARA WAONYWA KUTOCHAGUA WAPINZANI
Mbunge mteule wa viti maalum kupitia vijana, Asia Halamga akizungumza wakati akiomba kura kwa wagombea wa CCM kwa nafasi ya udiwani na urais kwa…
NEEMA LUGANGIRA ATEULIWA KUWA MLEZI WA CCM WILAYA YA BUKOBA
MBUNGE Mteule Viti Maalumu kupitia kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania (CCM) Neema Lugangira akizungumza na wenyeviti wa serikali za mitaa kata ya…
MILIONI 103 YAKOPESHWA KWA VIKUNDI KATA BUZURUGA
…………………………………………………………………………… Kiasi cha shilingi milioni 103 imekopeshwa kwa Vikundi vya wajasiriamali wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu kwa kata ya Buzuruga kwaajili ya kuendeleza…
MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA MKUZA AHAHIDI MAKUBWA KATIKA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO
Mgombea Udiwani kata ya Mkuza kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Fokasi Bundala akizungumza katika mkutano wa hadhara na baadhi ya wananchi…