Home Siasa MKUTANO WA CCM GANDO 2 VISIWANI ZANZIBAR

MKUTANO WA CCM GANDO 2 VISIWANI ZANZIBAR

0

 MGOMBEA Ubunge jimbo la Gando Salum Mussa omar akiwaombea kura wagombea wenzake katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Mpira wa Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ikulu] 27/09/2020.

Wagombe naffs Udiwani CCM walipokuwa wakitambulishwa  katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Mpira wa Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ikulu] 27/09/2020.

Wasanii  wa kikundi cha Wete Mjini  wakiburudisha wakati wa mkutano ukiendelea katika kuwanadi wagombea wa nafasi mbali mbali Uongozi wakiwemo Wawakilishi,Wabunge,madiwani na Mgombea Urais wa Zanzibar katika mkutano wa kampen za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira wa Gando [Picha na Ikulu.] 27/09/2020.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni zilizofanyika leo Uwanja wa Gando.[Picha na Ikulu].27/09/2020.

Wanachama wa CCM na wananchi wakiwa katika Mkutano wa Kampeni kusikiliza Sera za Chama hicho zilizotolewa na  Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni zilizofanyika leo Uwanja wa Gando.[Picha na Ikulu].27/09/2020.