Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA KONGAMANO LA JUMUIYA TATU ZA CCM ZANZIBAR UKUMBI WA SHEIKH IDRISA ABDULWAKIL KIKWAJUNI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia…
MEMBE ANG’ATUKA ACT-WAZALENDO
***************************************************** Aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa Chama hicho, Bernad Membe leo…
IDADI YA WAPIGA KURA IRAMBA HAIKUTOSHA KWA RAIS MAGUFULI KUTOKANA NA MAENDELEO ALIYOYAFANYA
Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye Kikao cha…
MWENYEKITI WA UWT MKOA WA DODOMA, NEEMA MAJULE AELEZEA JINSI WALIVYOJIPANGA KUWEKEZA MIRADI HADI KWENYE KATA
************************************************** Msikilize Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT-CCM) Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akielezea mambo mbalimbali ikiwemo jinsi uongozi wake ulivyowezesha ujenzi wa …
TAARIFA YA CHAMA CHA AAFP
Zanzibar Chama cha AAFP kimesema ili maridhiano yaliofikiwa Zanzibar yalete manufaa kwa jamii vyama vingine vya siasa vishirikishwe kuondosha hofu ni makubaliano kati ya…
RAIS DKT.MWINYI AMEWATAKA WANACHAMA CCM KUWA WAVUMILIVU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanachama…
RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI, RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN MWINYI ALA KIAPO KUWA MJUMBE WA BARAZA HILO LEO JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na…
MADIWANI MANISPAA YA IRINGA WAMTAKA RADHI MNEC SALIM ABRI
Mnec Salim Abri akimpongeza Meya Ibrahim Ngwada Mnec Salim Abri akizungumza na madiwani wakati akifunga mafunzo kwa ajili ya madiwani wa halmashauri ya Manispaa…
HATUA MBALIMBALI KUCHUKULIWA KUTATUA KERO ZA MIGOGORO YA ARDHI NA MIPAKA CHALINZE- RIDHIWANI.
******************************* NA MWAMVUA MWINYI,CHALINZE Des 11 MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewahakikishia wananchi wa Kata ya Pera na Chalinze kuwa Serikali itaendelea…