Home Siasa RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA KONGAMANO LA JUMUIYA TATU...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA KONGAMANO LA JUMUIYA TATU ZA CCM ZANZIBAR UKUMBI WA SHEIKH IDRISA ABDULWAKIL KIKWAJUNI

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia na kulifungua Kongamano la Jumuiya Tatu za CCM za UWT,UVCCM na Wazazi lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh nIdrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo 6-1-2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Kongamano la Jumuiya za CCM, UWT,UVCCM na Wazazi, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Jumuiya za CCM za UWT,UVCCM na Wazazi.(kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa meza Kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wakiimba wimbo wa Ukombozi na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi, Katibu Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM (SUKI) Mwalim Kombo Hassan Juma na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa UVCCM ambae pia ni  Waziri wa Vijana Habari Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Mwita Maulid,Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi. Thuwaybah Editon Kisasi na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi.(Picha na Ikulu) MSOMA Utenzi Farida Rajab akisoma utenzi Maalum wa Ufunguzi wa Kongamano la Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi UVCCM, UWT na Wazazi, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya Kongamano la Jumuiya za CCM za UWT,UVCCM na Wazazi, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)WASHIRIKI wa Kongamano la Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi UWT,UVCCM na Wazazi, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akilifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)