WAZIRI MCHENGERWA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO SHULE ZOTE WILAYA YA RUFIJI,AANZISHA LIGI YA SENSA
Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Rufiji. Mhe, Mohamed Omary Mchengerwa ametoa vifaa vya michezo kwa…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Rufiji. Mhe, Mohamed Omary Mchengerwa ametoa vifaa vya michezo kwa…
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul (kulia) akikabidhi kombe kwa timu ya Mlalo FC ambayo imeibuka kidedea kwenye fainali za…
Mgeni rasmi wa Bonanza la Michezo kati ya Hazina, Ikulu na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini ambaye ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof.…
Msimamizi wa Uchaguzi wa Mapinduzi Sports Club Wilson Nkambaku Akizungumza jijini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa Uchaguzi huo . Msimamizi wa Uchaguzi wa…
Tarehe 12 Julai, Ubalozi wa Marekani kwa kushirikiana na Taasisi ya Familia ya Brogdon, Jr. NBA Africa na Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park wamewakaribisha…
Asila Twaha, Dar es Salaam Timu ya Tamisemi Queens imeendelea kuwa tishio kwa kuonesha mabavu yake kwa kuichapa timu ya UDSM goli 65 -14…
KOCHA wa Mbeya Kwanza FC, Mbwana Makatta na Meneja wa timu hiyo, David Naftali wamepunguziwa adhabu kutoka kufungiwa miaka mitano hadi miezi sita. …
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Yanga wamempitisha Mhandisi Hersi Said ambaye alikuwa mgombea pekee kwa kura za ndio kuwa Rais Mpya wa klabu ya…
Mwenyekiti wa CHANETA, Dkt. Devotha Marwa, akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Serena, ambapo ametangaza…
************ Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa amevitaka vilabu vya michezo kufanya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kujenga…