KOCHA wa Mbeya Kwanza FC, Mbwana Makatta na Meneja wa timu hiyo, David Naftali wamepunguziwa adhabu kutoka kufungiwa miaka mitano hadi miezi sita.