YANGA YATOKA SARE YA PILI MICHUANO YA KAGAME CUP 2021
Timu ya Yanga imeshindwa kuibuka na ushindi dhidi…
SIMBA SC YAMSAJILI YUSSUF MHILU ALIYEIBULIWA YANGA SC KUANZIA TIMU YA VIJANA
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamemtambulisha mchezaji wa…
SUPER D AWACHONGANISHA TENA IBRAHIMU CLASS NA NASIBU RAMADHANI KUZIPIGA SEPTEMBA 24
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila…
MBUNGE WA TUNDURU KASKAZINI AGAWA VIFAA VYA MICHEZO
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Hassan Kungu kushoto akimpa mipira Katibu wa Madiwani Daud Amlima ili kuigawa katika kata zote kwenye jimbo hilo kama mkakati wa kuibua vipaji na kuendeleza mpira wa miguu kwa vijana. Picha na Muhidin Amri, **************************** Na Muhidin Amri, Tunduru MBUNGE wa jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma Hassan Kungu, ametoa mipira 96 yenye thamani ya Sh milioni 4.8 kwa kata zote 24 zilizopo katika jimbo hilo. Kungu amesema, lengo la kutoa mipira ni moja kati ya jitihada na mikakati yake katika kuibua vipaji na kuendeleza michezo kwa vijana wa Jimbo la Tunduru Kaskazini na wilaya ya Tunduru. Amesema, katika wilaya ya Tunduru yenye majimbo mawili ya Tunduru Kaskazini na Kusini kuna vijana wengi wenye vipaji vya kucheza mpira wa miguu,hata hivyo baadhi yao hawajapata fursa ya kuonekana kutokana na changamoto ya vifaa ikiwemo mipira jambo linalosababisha kushindwa kutumia na kuonyesha vipaji vyao.…
PROF SHEMDOE AIPONGEZA TAMISEMI QUEENS KUSHIKA NAFASI YA PILI KLABU BINGWA YA NETIBOLI NCHINI
****************************** Na Mathew Kwembe, Dodoma Katibu Mkuu Ofisi…
MASHINDANO YA BAISKELI “GREAT AFRICAN CYCLING SAFARI” YANAUNDA USHIRIKIANO MKUBWA WA NCHI ZA EAC-BALOZI MBAROUK
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje…
AZAM FC YAMNASA MSHAMBULIAJI HATARI,IDRIS MBOMBO KUTOKA EL GOUNAH YA MISRI KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
KLABU ya Azam FC imemsainisha mkataba wa miaka…
KATIBU MKUU UVCCM AZINDUA CLUB YA JOGGING DODOMA,ATOA MAAGIZO KWA WENYEVITI,MAKATIBU MIKOA NA WILAYA
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama…
DC MOYO: MWENGE WA UHURU KUTEMBELEA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI SHILINGI BILIONI KUMI WILAYA YA IRINGA
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo…
TANZANIA MABINGWA CECAFA
**************************** Timu ya Taifa ya Tanzania Vijana wenye…