COSTECH YAWATAKA WATAFITI KUJA MAANDIKO YANAYOJIBU CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, COSTECH Dkt Amos Nungu na Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, COSTECH Dkt Amos Nungu na Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu…
Na . Zillipa Joseph, Katavi. Shirika la Uwakala wa m Meli Tanzania (TASAC) limejipanga kutoa huduma bora za udhibiti wa Usalama Majini kwa wasafirishaji…
Ulinzi wa nchi ni wetu sote hivyo jamii inapaswa kutoa taarifa za vitendo vyote vya ukatili wa kijinsia na Unyanyasaji dhidi ya Watoto pamoja…
Meneja Masoko wa taasisi ya kifedha ya Y9 Microfinance Sophia Mang’enya akizungumza wakati wa kutangaza washindi wa droo ya kwanza ya taasisi hiyo. Kampeni…
NA VICTOR MAKINDA, MOROGORO Jeshi la Polisi Tanzania, limewataka watu wote wanaomiliki silaha pasipo kuwa na vibari, kutumia msamaha wa usalimishaji silaha kwa hiyari,…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju akikata utepe kuzindua Mitaala mipya kwa miaka mitano…
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mariam Ditopile akigawa mtungi wa Gesi kwa Mama Lishe Bi Halima,pichani akiwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa…
Na. WAF – Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kuvilinda, kuvibeba na kuvilea viwanda vya ndani vinavyotengeneza bidhaa za dawa nchini…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), ametembelea Maonesho ya Wiki ya Vijana leo Oktoba 13, 2023 na kuhamasisha…
Na Timoth Anderson Wazee nchini wamehamasishwa kujiunga na Mpango wa Uwiano kati ya Elimu ya Watu Wazima na Jamii (Mukeja) kwa kuwa elimu hiyo…