Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MKURUGENZI MKUU PDPC: USAJILI WA LAZIMA WAANZA, HATUA ZA KISHERIA DHIDI YA WANAOKIUKA SHERIA KUCHUKULIWA
……. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia, ametoa wito kwa taasisi zote zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi…
TANZANIA YATOA POLE KWA ANGOLA KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE MSTAAFU MANUEL DOMINGOS AUGUSTO
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. James Millya akisaini kitabu cha maombolezo ya…
WAKULIMA WA PAMBA IGUNGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUFUNGUA AKAUNTI
Wakulima wa zao la pamba kutoka vijiji vya Mbutu, Iyogelo, Ilambakuki, Imalanguzu na Mwamakoma vilivyopo katika Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora, wamehamasika kufungua…
SERIKALI YASISITIZA UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Na, mwandishi wetu – Arusha SERIKALI imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuzingatia misingi ya uadilifu katika utumishi wa umma ili kuhakikisha utekelezaji wa majukumu na…
SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKI JUMUISHI WA WANAWAKE, VIJANA NA MAKUNDI MAALUM KATIKA SAYANSI NA UBUNIFU
Serikali imeendelea kusisitiza ushiriki jumuishi wa wanawake, vijana na makundi yenye mahitaji maalum katika utafiti, sayansi, teknolojia na ubunifu ili kuongeza mchango wao katika…
JESHI LA POLISI WAKUTANA NA MAWAKALA WA MABASI KUJADILI MIKAKATI YA USAFIRI SALAMA
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani mkoani Arusha limeendelea kuimarisha mikakati ya kuzuia ajali za barabarani kwa kukutana na mawakala wa mabasi wanaotoa…
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AJUMUIKA NA WAUMINI KATIKA SWALA YA IJUMAA MAISARA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Swala ya Ijumaa…
RAIS SAMIA AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BOT, DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu…
BAJETI KUU, SERIKALI YAMWAGIWA MABILIONI KUKABILI MABADILIKO YA TABIANCHI
DOLA MIL 320 KUBORESHA MIUNDOMBINU ILIYOHARIBIKA KWA MABADILIKO YA TABIANCHI Serikali imesema imepokea jumla ya dola za Marekani milioni 320 katika kipindi cha mwaka…