STAMICO NA KOMIR YA KOREA WAINGIA MAKUBALIANO KUENDELEZA MADINI YA KIMKAKATI NCHINI
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo Juni 4, 2024 limesaini hati ya makubaliano (MoU) na Shirika la Ukarabati wa Migodi na Rasilimali za…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo Juni 4, 2024 limesaini hati ya makubaliano (MoU) na Shirika la Ukarabati wa Migodi na Rasilimali za…
NA VICTOR MAKINDA: IFAKARA, MOROGORO Adha ya upatikanaji wa maji safi na salama, iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa Kijiji cha Mherule, kata ya Mwanya Tarafa…
Naibu Katibu mkuu wizara ya ujenzi ,mawasiliano na uchukuzi Zanzibar ,Dk.Mzee Suleiman Mndewa akifungua mkutano huo mkoani Arusha . Posta Masta mkuu ,Maharage Chande…
Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la dira ya maendeleo 2050 litakalofanyika June 8,2024 katika ukumbi wa Nkurumah…
*-Takriban Wanawake 300 walioahidiwa na Rais Samia kunufaika *-Serikali kulipia Leseni hizo ada zote kwa kipindi cha awali Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven…
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Dkt.Zakia M. Abubakar leo tarehe 04 Aprili, 2024 amefungua mafunzo kwa Makarani waongoza Wapiga Kura yanayofanyika…
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Chitoholi kata ya Chitoholi wilayani Tandahimba wakisubiri Mwenge wa Uhuru kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi ujenzi…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Viongozi wa TAKUKURU (hawapo pichani) wakati akifungua kikao kazi cha viongozi…
Dodoma; Tarehe 3 Juni, 2024; Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mh. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Mamalaka ya Hali ya Hewa Tanzania kwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya…