Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WARAHIBU WA DAWA ZA KUKEVYA WANAPIGA GARI JIPYA
Naitwa Sofia kutoka Nairobi, Kenya, kuna siku nilipigiwa simu asubuhi sana, namba sikuifahamu. Kumbe ni rafiki yangu wa kitambo nikiwa chuo, yeye alikuwa mrahibu…
RAIS MSTAAFU NA MWENYEKITI WA TAASISI YA MUSUALA YA ELIMU DUNIANI (GPE) DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA VIKAO VYA BODI HIYO MJINI BERLIN, UJERUMANI
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education – GPE) akiongoza Vikao…
MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Utangazaji la Taifa TBC na Katibu wa Bunge Mstaafu Stephen…
WAZIRI JAFO ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO YA SIKU YA MAZINGIRA JIJINI DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea na kukagua mabanda mbalimbali ya maonesho ya Siku…
WANANCHI WAENDELEA KUJITOKEZA JIJI DODOMA KUPATA HUDUMA ZA ARDHI
Wananchi wa Jiji la Dodoma na viunga vyake wameendelea kujitokeza katika Kliniki ya Ardhi ili kutatuliwa migogoro ya ardhi inayowakabili. Kamishna wa Ardhi, Wizara…
MHE. NDEJEMBI: SERIKALI ITANDELEA KUSIMAMIA HAKI NA USTAWI WA WENYE UALBINO
Na; Mwandishi Wetu – DODOMA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Deogratius Ndejembi amesema kuwa…
DC TANGANYIKA, AFIKISHWA MBELE YA BARAZA LA MAADILI KWA MADAI YA UKIUKWAJI WA MAADILI.
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Bw. Onesmo Mpuya Buswelu tarehe 4 Juni, 2024 amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za…
MAAFISA VIUNGO WA MIKOA WAAGIZWA KUTOA TAKWIMU NA TAARIFA SAHIHI ZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga amefungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Viungo wa Mikoa na kuwataka kuandaa takwimu zenye uhalisia na…