WAZIRI SIMBACHAWENE : KUKOPA SI AIBU, NI AFYA KIUCHUMI
.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe.George Simbachawene akizungumza na wakristo wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yuda Tadei…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe.George Simbachawene akizungumza na wakristo wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yuda Tadei…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozii aliopowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro akielekea Arusha ambako alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika…
Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu…
Naibu Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Juma Makungu Juma wakati akizindua mfuko wa uwekezaji wa pamoja (Timiza Fund) huko golden…
Afisa mhifadhi wa shirika la kimataifa la uhifadhi mazingira(WWF)Deo Kilasara kulia,akikabidhi kwa Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Simon Chacha,box lenye mabomu baridi yaliyotengenezwa kwa kutumia pilipili yanayotumika kufukuza wanyama wakali hususani Tembo wanaovamia makazi ya binadamu wilayani humo. Mkuu wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Simon Chacha kushoto,akimsikiliza afisa maliasili wa wilaya hiyo Dunia Almasi kuhusu matukio ya wanyama wakali na waharibifu wanaovamia makazi ya binadamu baada ya kupokea msaada wa vifaa mbalimbali vikiwemo mabomu kwa ajili ya kufukuza wanyama wanatoka hifadhini na kwenda kwenye makazi ya watu. Na Mwandishi Maalum,Tunduru SHIRIKA la Kimataifa la uhifadhi mazingira Duniani(WWF),limekabidhi vifaa mbalimbali kwa Serikali ya wilaya Tunduru na Namtumbo vitakavyosaidia katika kudhibiti wanyama wakali na waharibifu…
Na Mwandishi Wetu, Mbeya WAKULIMA wa mazao ya nafaka wilayani Chunya mkoani wa Mbeya wameiomba serikali kuwajengea maghala ya kuhifadhia mazao ili kuepuka uuzaji…
*Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika *Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati *Aiomba…
Na Mwandishi wetu, Mirerani Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Heroes Mining Camp imetoa msaada wa…
Tayari Viongozi, Watumishi na wageni mbalimbali wamewasili kushuhudia Hafla ya Uzinduzi wa Timu ya kuandaa Vision 2030 inayofanyika leo Juni 12, 2024 Jijini Dodoma.…