DORIS MOLLEL FOUNDATION WAPOKEA MITUNGI 200 YA GESI YA ORYX ILI KUWAPATIA WAJAWAZITO WILAYANI SERENGETI
Meneja Masoko wa Kampuni ya Oryx Peter Ndomba…
KANISA LAKABITHI MICHE YA MATUNDA 30,000 KUKABILIANA NA UKAME MKOANI ARUSHA .
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha ,Missaile Musa…
MAREMA TAWI MIRERANI WAMUAGA RMO FABIAN KWA TUZO ILIYOTUKUKA
********************** Na Mwandishi wetu, Mirerani CHAMA cha wachimbaji…
MABALOZI WAHIMIZWA KUBIDHAISHA KISWAHILI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa…
TCRA:WATUMIAJI WA HUDUMA ZA KIFEDHA KATIKA MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA
************ Na Mwandishi Wetu Idadi ya wananchi wanaotumia…
LUSINDE AMTAKA DK.BASHIRU AJIUZULU UBUNGE
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi…
ZAIDI YA WANAFUNZI 120 WA SHULE ZA SEKONDARI ZA JIJI LA TANGA WAANZA KAMBI MAALUMU KITUO CHA SAYANSI CHA STEM PARK
DIWANI wa Kata ya Chumbageni (CCM) akizundua kambi maalumu…
TUNDURU WAFANYA MNADA WA PILI WA KOROSHO,WAKULIMA WAUZA KILO MILIONI 1,657,417 ZA KOROSHO ZENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 3.08
****************************** Na Muhidin Amri, Tunduru WAKULIMA wa zao la korosho mkoani Ruvuma wanaohudumiwa na Chama Kikuu cha Ushirika wilayani Tunduru(TAMCU LTD),wamekubali kuuza korosho zao zaidi ya tani 1,600 sawa na kilo milioni 1,657,417 kwa bei ya Shilingi 1.859 kwa kilo moja. Huo ni mnada wa pili wa zao la korosho kufanyika mkoani Ruvuma, ambapo bei ya chini ilikuwa Sh. 1,855 huku bei ya juu ilikuwa Sh.1,890 na katika mnada huo uliofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Sky Way Tunduru Mjini wakulima wamefanikiwa kujipatia zaidi ya Sh.bilioni 3,081,138,203. Akizungumza na wawakilishi wa wakulima,viongozi wa vyama vya msingi na Chama Kikuu cha Ushirika wilayani humo(TAMCU LTD)Mrajisi wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Dkt Benson Ndiege,amewapongeza wakulima wa zao hilo kwa kukubali kuuza korosho kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.…
TVLA IMEWATAKA WAFUGAJI KUZINGATIA MATUMIZI SAHIHI YA CHANJO ZA MIFUGO
Meneja wa wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) Kanda ya…
MANISPAA YA IRINGA YANG’ARA TUZO ZA USAFI KITAIFA
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Mhe.Ibrahim Ngwada…