GGML YAWAAGA WAHITIMU WA MAFUNZO TARAJALI
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo tarajali kutoka GGML…
WOTALISOLI NA IFUWA KUPATA MAJI YA BOMBA MWEZI UJAO,RUWASA YATUMIA SHILINGI BILIONI 1.9 KUJENGA MRADI MKUBWA WA MAJI
Tenki la maji linaloendelea kujengwa ambalo linatarajiwa kuhudumia wananchi wa vijiji viwili vya Ifuwa na Wotalisoli wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. Kaimu meneja wa Ruwasa wilaya ya Kilolo Obed Ngonde akizungumza na baadhi ya wananchi na viongozi wa kijiji cha Ifuwa na Wotalisoli kwenye eneo la ujenzi wa mradi wa maji unaoatarajiwa kuhudumia wananchi wa vijiji hivyo. ......................... Na Muhidin Amri,Kilolo WIZARA ya maji kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa),imetenga Sh.bilioni 1,908,564,878.00 kwa ajili ya kujenga mradi wa maji utakaowanufaisha zaidi ya wakazi 3,541 wa vijiji vya Ifuwa na Wotalisoli Halmashauri ya wilaya Kilolo mkoani Iringa. Kaimu Meneja wa Ruwasa wilaya ya Kilolo Obed Ngonde alisema,fedha hizo zitumika kutekeleza mradi huo ambao utamaliza kero ya maji safi na salama iliyokuwepo kwa muda mrefu kwa wakazi wa vijiji hivyo ambao hawajawahi kupata maji ya bomba tangu vijiji hivyo vilipoanzishwa.…
DUCE YAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Wanafunzi wakiwa kwenye maandamano katika Kilele cha Maadhimisho…
WATENDAJI DAWATI LA JINSIA NA WATOTO WAUNGANA KUTOA ELIMU TANGA
Baadhi ya Watendaji wa Dawati hilo wakitoa elimu.…
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AMBAE NI RAIS DK.MWINYI ATOA SHUKRANI KWA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA 10 WA CCM JIJINI DODOMA
Wageni waalikwa Makatibu Wakuu wa Chama cha Mapinduzi…
GGML YAONGOZA TUZO YA UWAJIBIKAJI BORA KWA JAMII
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Ltd. (GGML)…
RAIS SAMIA:’NAENDA KUPANGA SAFU MPYA SERIKALINI’
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mhe.…
MAHAFALI YA 46 YA TAASISI YA USTAWI WA JAMII
Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…
TAKUKURU MWANZA YAFUATILIA UTEKELEZAJI WA MIRADI 27 YENYE ZAIDI YA BILION 16
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza James Ruge…