Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MIFUMO YA KIDIJITALI YAONGEZA UKUSANYAJI NA USIMAMIZI WA MAPATO YA SERIKALI
Na Bupe Mwaiseje- MAELEZO Serikali imeendelea kuimarisha usimamizi wa mapato na matumizi ya fedha za umma kupitia uwekezaji mkubwa katika mifumo ya kidijitali, hatua…
DKT. DUGANGE: SERIKALI KUIMARISHA MTANDAO WA BARABARA NEWALA VIJIJINI
Na Timothy – Mwakyenda – MAELEZO. Serikali imeahidi kuendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Jimbo la Newala Vijijini mkoani Mtwara kwa kutenga fedha za…
MAKATIBU WAKUU WA EAC WAKUTANA KUKAMILISHA MAANDALIZI YA SCTIFI
Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha…
MAGEUZI YA KODI YAWEKA MSINGI WA KUONGEZA MAPATO NA KUKUZA UWEKEZAJI
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imeeleza kuwa inaendelea kutekeleza mageuzi mbalimbali ya kodi yanayolenga kuongeza mapato ya ndani, kupanua wigo wa walipakodi na…
UCHUMI WA TANZANIA WAENDELEA KUIMARIKA, UWEKEZAJI WAONGEZEKA
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imesema uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika kutokana na utekelezaji wa sera madhubuti za kiuchumi, uwekezaji katika miradi ya…
WAZIRI MKUU AFANIKISHA MARIDHIANO YA MGOGORO WA MIAKA 14 KATI YA MARTHA HILONGA NA KANISA KATOLIKI ARUSHA
Utaratibu wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa njia ya mazungumzo na maridhiano umewezesha kupatikana kwa suluhu…
SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA MIFUMO YA KIDIJITALI KATIKA USIMAMIZI WA FEDHA
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali katika usimamizi wa fedha za umma na ukusanyaji wa mapato kwa…
VIPAUMBELE VYA WIZARA YA FEDHA 2026/27 VYALENGA KUIMARISHA UCHUMI WA TAIFA
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeweka mkazo katika utekelezaji wa vipaumbele mbalimbali vya kimkakati kwa mwaka wa fedha 2026/27,…
WIKI YA UTAFITI, UBUNIFU NA HUDUMA KWA JAMII ILIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MKWAWA YAFUNGULIWA IRINGA
NA DENIS MLOWE, IRINGA Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amefungua rasmi Wiki ya Utafiti, Ubunifu na Huduma kwa Jamii inayofanyika kuanzia Juni…