Sunday, October 11, 2026

Mchanganyiko

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

59296 Stories
MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWAONYA VIONGOZI WA AMCOS KUTOSHIRIKI KUNUNUA KAHAWA YA MAGENDO

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWAONYA VIONGOZI WA AMCOS KUTOSHIRIKI KUNUNUA KAHAWA YA MAGENDO

Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Ruvuma Peja Muhoja kulia,akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Peres Magiri baada ya kufungua mkutano  wa Chama Kikuu cha Ushirika Wilaya ya Mbinga(Mbifacu)katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga,katikati  aliyekuwa Mfilisi wa Mbifacu Watson Nganiwa. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Peres Magiri kushoto,akisamiliana na Meneja Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Kahawa Wilaya ya Mbinga Faraja Komba baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Chama hicho uliofanyika katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga,katikati Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Ruvuma Peja Muhoja. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani RuvumaPeres Magiri katikati akiwa kwenye Picha ya pamoja na Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa…