WANAWAKE WENGI WANASHINDWA KUSHIKA NAFASI ZA UONGOZI KWA KUOGOPA KUPEWA TARAKA
Yumna Mmanga akiwasilisha mada ya umuhi wa jamii uwaunga mkono wanawake katika nafasi mbali mbali za uongozi katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Yumna Mmanga akiwasilisha mada ya umuhi wa jamii uwaunga mkono wanawake katika nafasi mbali mbali za uongozi katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni…
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akiwasilisha mada mbele ya viongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo wakati wa mafunzo ya namna…
******************************** Bodi ya maziwa imesimamia makubaliano kati Shule za msingi 13 mkoani Arusha na kampuni ya uchakataji wa maziwa ya Galaxy food ya unywaji…
******************************************* NA DENIS MLOWE,IRINGA MWENYEKITI wa Jukwaa la Walimu Wazalendo mkoa wa Iringa, Mwalimu Marysina Ngowi amepongeza uteuzi wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM…
Mratibu wa kitengo cha kifua kikuu na ukoma wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt Mkasange Kihongole kushoto akifuatilia maendeleo ya Afya ya mtoto Fatma Ali(3) ambaye anasumbuliwa na homa za mara kwa mara wakati wa kampeni ya uelimishaji na uchunguzi wa vimelea vya kifua kikuu kwa watoto iliyofanyika katika kijiji cha Namwinyu wilayani humo,kulia ni mama wa mtoto Daima Kazembe. Muuguzi wa Zahanati ya Namwinyu kijiji cha Namwinyu wilaya ya Tunduru Hidaya Kandulu akiongea na baadhi ya akina mama waliofika kwenye zahanati hiyo kwa ajili ya huduma ya kliniki kwa watoto wao, hata hivyo baadhi ya watoto hao wamebainika kuwa na maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa kifua kikuu unaosababisha watoto wengi kutokuwa na maendeleo mazuri katika suala zima la ukuaji. ***************************************** Na Muhidin Amri, Tunduru MRATIBU wa kitengo cha kifua kikuu na ukoma kutoka Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt Mkasange…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (kulia) akimueleza Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey Mheluka hatua ambazo Serikali imezichukua ili kutatua…
Picha ya pamoja ya Waziri wa Maji alipo tembelea kiwanda cha Tanzania Steel Pipes kilichopo Ubungo, Dar Es Salaam. ********************************* Waziri wa Maji na…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mwita Waitara (wakati) akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Kigamboni Jijini Dar es…
********************************************* Na Atley Kuni, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wakuu wa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Wafanyakazi…