joseph
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RC ANTHONY MTAKA AIPONGEZA WCF KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA YANAYOENDELEA MKOANI SIMIYU
NA Khalfan Said, Simiyu MKUU wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka, ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi WCF, kutokana na ushiriki wake katika…
iMES, Imekuja kwa wakati Muafaka
Mataalam kutoka OR-TAMISEMI, Fatma Yusuph, akitoa msaada wa kiutaalam kwa wataalam wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, wakati wa zoezi la uingizaji wa taarifa…
MASAUNI AKAGUA UANDIKISHWAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA NA UTOLEWAJI WA PASI ZA KUSAFIRIA ZANZIBAR
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wananchi waliofika Makao Makuu ya Uhamiaji Visiwani Zanzibar leo kupata pasi…
POLISI TZ FC YAMTAMBULISHA MDHAMINI WAKE MKUU LODHIA GROUP
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Kangi Lugola akizungumza na Mwenyekiti wa Makampuni ya Lodhia Bw. Harun Lodhia ambaye ndiye mdhamini mkuu…
MOTO WATEKETEZA BAADHI YA MADUKA YA MBOGA MBOGA YALIOPO CHAKE-CHAKE KISIWANI PEMBA
Wafanyakazi kutoka Zimamoto na Uokozi wakionyesha jihitada ya kuzima moto uliyoteketeza baadhi ya maduka katika Soko kongwe la Mbogamboga lililopo Chake-chake Kisiwani Pemba .…
WAZIRI LUKUVI ATATUA MIGOGORO MTAA KWA MTAA JIJINI DAR ES SALAAM
*********** Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amefanya ziara katika maeneo ya Kigogo na Msimbazi Center jijini Dar es…
WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI TERMINAL III
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Wilson Kantambula (kulia) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na…
MHE HASUNGA AITAKA NFRA KUTOA ELIMU YA MIFUKO YA PIC’S KWA WAKULIMA
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua Banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakati akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya 27 ya…