Home Michezo POLISI TZ FC YAMTAMBULISHA MDHAMINI WAKE MKUU LODHIA GROUP

POLISI TZ FC YAMTAMBULISHA MDHAMINI WAKE MKUU LODHIA GROUP

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Kangi Lugola
akizungumza na Mwenyekiti wa Makampuni ya Lodhia Bw. Harun
Lodhia ambaye ndiye mdhamini mkuu wa timu ya Polisi Tanzania
wakati wa hafla ya kutambulishwa kwake jijini Dar es Salaam.
(Picha na Polisi Tanzania FC).

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Kangi Lugola
akizungumza katika hafla maalumu ya kumtambulisha mdhamini
mkuu wa timu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu Tanzania
bara Kampuni ya Lodhia. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
(Picha na Polisi Tanzania FC).

Mwenyekiti wa timu ya Polisi Tanzania Kamishna wa Polisi
Charles Mkumbo (Kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni za Lodhia
Bw. Harun Lodhia wakisaini mkataba wa udhamini ambapo
kampuni ya Lodhia itakuwa mdhamini mkuu wa timu hiyo katika
kipindi cha mwaka mmoja. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam. (Picha na Polisi Tanzania FC).

Mwenyekiti wa timu ya Polisi Tanzania Kamishna wa Polisi
Charles Mkumbo (Kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni za Lodhia
Bw. Harun Lodhia wakisaini mkataba wa udhamini ambapo
kampuni ya Lodhia itakuwa mdhamini mkuu wa timu hiyo katika
kipindi cha mwaka mmoja. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam. (Picha na Polisi Tanzania FC)