Home Mchanganyiko MOTO WATEKETEZA BAADHI YA MADUKA YA MBOGA MBOGA YALIOPO CHAKE-CHAKE KISIWANI PEMBA

MOTO WATEKETEZA BAADHI YA MADUKA YA MBOGA MBOGA YALIOPO CHAKE-CHAKE KISIWANI PEMBA

0

Wafanyakazi kutoka Zimamoto na Uokozi  wakionyesha jihitada ya kuzima moto uliyoteketeza baadhi ya maduka katika Soko kongwe la Mbogamboga lililopo Chake-chake Kisiwani Pemba .

Wananchi wa Chake-chake wakishuhudia Moto ukizimwa katika  baadhi ya Maduka yaliyoteketea kwa moto katika Soko kongwe la mbogamboga lililopo Chake-chake Kisiwani Pemba.