joseph
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
TBA YATANGAZA KIAMA WADAIWA SUGU KODI ZA MAJENGO.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA,) Mbunifu Majengo. Daud Kondoro akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu hatua…
SERIKALI KUBORESHA ELIMU YA UJASIRIAMALI KUINUA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA HAPA NCHINI.
Waziri wa Viwanda na biashara Mhe. Geoffrey Mwambe akizungumza wakati kufungua mkutano wa wadau kuhusu rasimu ya sera ya maendeleo ya viwanda vidogo na…
Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii yasisitizwa kupambana kupunguza msongamano wa wahalifu kwenye Magereza.
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, Mhe. Jaji Zephrine Galeba, akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii…
TAKUKURU DODOMA YAOKOA MAMILIONI IKIWAMO MILIONI 8 ZA BIBI KIZEE
******************************** Na Ezekiel Mtonyole – Dodoma. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kurejesha kiasi cha shilingi milioni 45.760…
JAJI MKUU JUMA AMEUTAKA UONGOZI WA IJA KUHAKIKISHA WAHITIMU CHUONI KUMUDU MATUMIZI YA TEHAMA
********************************* Jaji mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma ameutaka uongozi wa chuo cha uongozi wa mahakama lushoto[ IJA ] kuhakikisha wahitimu wanaomaliza chuoni hapo…
DK. MAHENGE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA DODOMA (RCC)
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Mkoa huo (RCC), akiongoza kikao cha kamati hiyo…
WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA AIPONGEZA TARI KWA KUTEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU KUHUSU UZALISHAJI WA MICHE YA MICHIKICHI
Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda akifuatilia wasilisho kuhusu maendeleo ya uzalishaji wa mbegu pamoja na miche bora ya zao la chikichi kutoka kwa…
DKT. Abbasi: Naviagiza Vyombo Vyote Vya Habari Vitoe nafasi kwa Wahitimu wa Habari Kufanya Mazoezi kwa Vitendo
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akihutubia Wahitimu wa katika Chuo cha Uadishi…
RAS TANGA ATOA AGIZO KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Judica Omari akizungumza wakati wa kikao cha kutangaza matokeo ya wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi mwaka 2020…