joseph
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MWENYEKITI WA UWT MKOA WA DODOMA, NEEMA MAJULE AELEZEA JINSI WALIVYOJIPANGA KUWEKEZA MIRADI HADI KWENYE KATA
************************************************** Msikilize Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT-CCM) Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akielezea mambo mbalimbali ikiwemo jinsi uongozi wake ulivyowezesha ujenzi wa …
SOKO LA SABASABA DODOMA SAWA NA MTAA WA KONGO DAR +VIDEO
Wakazi wa Dodoma wakisongamana eneo la maduka walipokwenda kupata mahitaji leo Deema 24,2020 katika Soko la Sabasaba jijini Dodoma, kwa ajili ya maandalizi ya…
WATU 9 WAKIWEMO ASKARI WA JESHI LA POLISI WASHIKILIWA KWA RUSHWA
Sehemu ya silaha walizokutwa nazo Majambazi pichani kamanda Hamduni akionyesha Bastola mbili walizokutwa nazo Majambazi hao waliouawa katika mapambano na Askari wa Jeshi la…
Dkt.Abbasi atuma salamu kwa Watanzania kuwa maandalizi ya tamasha yamekamilika
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akituma salaam kwa wana Dar es Salaam,…
Waziri Bashungwa aiagiza Kamisheni ya Ngumi kuboresha Utendaji Kazi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa, Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Abdallah Ulega pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya…
WAZEE WA MANISPAA YA BUKOBA WASHIRIKI HALFA YA CHAKULA ILIYOANDALIWA NA MBUNGE NEEMA LUGANGIRA
MBUNGE wa Viti Maalumu Tanzania Bara kupitia (NGOs) Mhe. Neema Lugangira akizungumza jambo kwa Wazee 38 waliowakilisha Kata zote 14 za Bukoba Manispaa kwa lengo…
WANANCHI RUANGWA WAPOKEA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI WENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA
Kulia ni Mhandisi Senzia Maeda Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliagi akionesha Hati ya kukamilika kwa kazi ya Ujenzi…
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,KHAMIS HAMZA CHILO AKITEMBELEA HUDUMA ZA KIUHAMIAJI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA SHEIKH ABEID AMANI KARUME NA AKIKAGUA MRADI WA UKARABATI WA NYUMBA ZA ASKARI WA UHAMIAJI KIEMBE SAMAKI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), baada ya kumaliza ziara…
TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI KIDUNIA NA YA KWANZA AFRIKA MASHINDANO YA TEHAMA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akitoa tuzo kwa washindi wa mashindano ya TEHAMA ambapo Tanzania imeshika nafasi ya…